Advertisement |
MATARAJIO HALI YA HEWA 01/08/2017
Mkoa wa Kagera,Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Arusha, Kilimanjaro na Manyara,Tanga, Dar es Salaam na Pwani,Ruvuma, Morogoro, Lindi na Mtwara,Unguja na PembaHali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Rukwa, Mbeya, Njombe na Iringa,Shinyanga na Simiyu,Mara, Mwanza na Geita,Singida na Dodoma,Kigoma, Tabora na Katavi,Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Taarifa hii imetolewa na MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
0 comments: