Advertisement |
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA
TAREHE: 01/02/2018.
[Mikoa ya Kigoma na Katavi, Kagera na Geita]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo
katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza, Mara, Shinyanga na Simiyu na Mkoa wa Tabora]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika
Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe, Rukwa na Ruvuma]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika
Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Kusini mwa Mkoa wa Morogoro, Mtwara na Lindi]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika
Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha, Tanga, Dar es Salaam na Pwani pamoja na Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro: Mikoa ya Singida na Dodoma na Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Kunatarajiwa kuwa na Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
Mkoa Joto K/Juu Joto K/Chini Mawio Machweo
ARUSHA 30°C 14°C 12:41 12:54
D'SALAAM 33°C 25°C 12:26 12:47
DODOMA 29°C 18°C 12:41 01:00
KIGOMA 28°C 21°C 01:06 01:23
MBEYA 26°C 15°C 12:47 01:13
IRINGA 24°C 15°C 12:39 01:02
NJOMBE 19°C 13°C 12:39 01:02
MWANZA 27°C 19°C 12:56 01:07
TABORA 30°C 18°C 12:54 01:11
TANGA 32°C 23°C 12:29 12:46
ZANZIBAR 33°C 25°C 12:26 12:47
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 20 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi tarehe 03/02/2018: Kupungua kwa mvua maeneo ya Kusini mwa nchi.
Utabiri huu umetolewa tarehe: 01/02/2018.
NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA).
0 comments: