![]() |
| Advertisement |
| Baadhi ya wanahabari waliohudhuria mafunzo ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza wakijadili mada katika makundi |
| Bw. William Shechambo wa gazeti la Uhuru akichangia jambo kwenye mafunzo ya wanahabari ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza |
| Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt Agnes Kijazi akizungumza na wanahabari waliohudhuria mafunzo ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza |
| Baadhi ya wanahabari waliohudhuria mafunzo ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza |
| Bw. Costantino Pius kutoka redio Wapo akichangia jambo kwenye mafunzo ya wanahabari ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza |
| Bw. Henry Mabumo kutoka ITV akichangia jambo kwenye mafunzo ya wanahabari ya maandalizi ya mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli 2017, TMA-Ubungo Plaza |

0 comments: