Thursday, March 13, 2014

Picha za Uzinduzi wa Mradi wa Maji Yetu - Mbagala, Manispaa ya Temeke

ad300
Advertisement
Katibu mkuu wizara ya Maendeleo wa Ubelgiji Peter Moors (Kushoto), Katibu mkuu wizara ya maji wa Tanzania (Katikati) na Mwakilishi wa Jumuiya ya ulaya EU, Eric Beaume (Kulia), wakifurahi baada ya kupatiwa zawadi ya vinyago na wanakikundi cha watumia maji Dar es Salaam. Kulia kabisa ni Meya wa Manispaa ya Temeke Maabadi Hoja.
Wanafunzi wakifuatilia kwa makini matukio yaliyokuwa yakiendelea kwenye uzinduzi huo,jana.
Baadhi ya wageni waliohudhuria kwenye uzinduzi huo.
Katibu mkuu wizara ya Maji na umwagiliaji Eng. Bashiri Mrindoko (Katikati) akikata utepe sambamba na Mwakilishi wa umoja wa ulaya - EU, Eric Beaume (Kushoto) na Katibu mkuu wa wizara ya maendeleo Ubelgiji (Kushoto), Peter Moors.

Wanafunzi wa halaiki kutoka shule za msingi Mbagala kuu na Maendeleo wakiwa kwenye maandamano wakiwa wanampokea Katibu mkuu wizara ya maji na ujumbe alioongozana nao katika uzinduzi wa maradi wa maji yetu, jana.

Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo Ubelgiji Peter Moors, akifurahi jambo na mwenyeji wake katibu mkuu wizara ya maji wa Tanzania Eng. Mrindoko.

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: