|
Advertisement |
Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD kati ya miaka ya 70s, 80s na 90s waliovuma katika Idhaa zetu za Kiswahili na Kiingereza kupitia Radio Tanzania Dar es salaam (RTD). Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kamaredio za phillps,national,panasonicnaNationalpanasonicau maarufu kwa jina la dudu proof
Orodha ya Majina haya hapa:
1.Abdallah Iddrissa Majura–Michezo
2.Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
3.Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari & Mazungumzo baada ya habari
4.Abisai Steven
5.Abou Liongo–Michezo
6.Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
7.Ahmed Kipozi–Mpira
8.Alex Malumwene
9.Aloycea Maneno- Ombi lako, cheichei Shangazi, mama na mwana
10.Ananilea Nkya Twende na Wakati, Jinsia, Utawala Bora, Harakati
11.Bakari Msulwa- Salam
12.Barbabas Mluge
13.Bathoromeo Kombwa (bati Kombwa) – WAkati wa Kazi
14.Bazir Mbakile
15.Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari Kikoloma. –Enzi za vita ya Nduli
16.Benjamin Rwegasila
17.Bety Mkwassa – Kabla hajahamia ITV
18.Bhaat Kombwa–Wagonjwa mahospitalini, Wakati wa Kazi
19.Bujago Izengo wa Kadago
20.Charles Hillary–Mpira
21.Chillambo Dominic—Mpira..”…Fuuumo Felician…Nafasi kama ile….”
22.Chisunga Steven- kipindi cha ugua pole
23.Chriss Katembo
24.Christina Chokunogela
25.David Wakati–Duniani Wiki Hii
26.Deborah Mwenda–Mama na mwana–wanawake na maendeleo
27.Dominic Chilambo- Mpira
28.Edda Sanga
29.Fauziah Ismal-Habari
30.Hannah Gogo Mayige-Habari
31.Harid Ponela – club raha leo show
32.Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
33.Hendri Michael Libuda- Misakato
34.Iddi Rashid Mchata
35.Idrisa Sadala
36.Jacob Tesha–Habari
37.Japhet Muura.
38.Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
39.Juma Ngondai
40.Khalid Ponera- Zilipendwa
41.Kissunga Steven–Kwetu Kigoma
42.Leonald Mambo Mbotela
43.Malima Nderema
44.Mariam Shabba–Mambo ya jamii
45.Martha Ngwira
46.Michael Katembo na vipindi vyake vya Mkoa kwa mkoa, Tumbuizo asilia, Ngoma, Asilia Salam
47.Mohamed Abdullhamaan–Michezo
48.Mohamed Amani (Mohamed Dahman)
49.Mohamed Ngayonga–Mchana Mwema
50.Mshindo Mkeyenge–MichezoMpira
51.Nassoro Nsekeli
52.Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
53.Nazir Mayoka–Mpira
54.Nswima Ernest – Nyanda za Juu Kusini
55.Paschal Mayalla–Habari(anikumbushe mwenyewe ni mwana jukwaa)
56.Penzi Nyamungumi = Fundi mitambo – Mtangazaji
57.Peter Msungu–Mbili Kasoro
58.Rashid Mchata
59.Restuta Bukoli
60.Richard Leo
61.Rochus Matipa – External Service RTD
62.Rose Haji
63.Salama Mfamao
64.Salim Mbonde–Mpira
65.Salim Seif Nkamba –Mikingamo–twambie nani yuko wapi anafanya nini katika kuhujumu uchumi
66.Sango Kipozi–Habari
67.Sara Dumba–Mama na Mwana
68.Sauda Simba maarufu kwa kutangaza taarifa ya habari ya lugha ya kiingereza.
69.Sekioni Kitojo–Michezo
70.Seleman Kumchaya–Mchana Mwema
71.Selemani Mkufya
72.Simba Nyamaume–Majira
73.Siwatu Luwanda–Habari
74.Stan (Stanslaus) Katabalo – cha Majira
75.Suedi Mwinyi
76.Suleiman Hega
77.Suleiman Kumchaya
78.Suleiman Muhogora
79.Titus Philipo
80.Titus Stephen
81.Tumbo Risasi – Kigoma
82.Zainab Bakilana
Share This
0 comments: