Friday, September 27, 2013

Fumanizi lataka kumtoa Roho mke wa mtu Iringa.

ad300
Advertisement

 

Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijaweza kutambulika haraka amenusurika kifo baada ya kupata kipigo kikali kutoka kwa mume wake wa ndoa baada ya kufumaniwa mkoani Iringa.
Tukio hilo limetokea leo asubuhi majira ya saa 2, katika mji huo maeneo ya mwangata ambapo tulifanikiwa kulinasa kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Kwa mujibu wa taarifa zilizo na uhakika, mwanamke huyo alipokea kipigo hicho baada ya mumewe kumtoa kidume aliyekuwa na mkewe huyo na kumuachia huru kwani hakua na kosa kwani mwanamke alitakiwa kusema kuwa ameolewa.
Jamaa akazidi kufunguka "Mke wangu alitakiwa kukataa alipotongozwa yaani moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa na baada ya hapa ntampa kichapo kikali sana" 
Baadhi ya picha za tukio hilo zinaonekana katika ukurasa huu.
 
 
Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: