Advertisement |
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO
TAREHE:08/09/2017.
[Mikoa ya Kagera, Geita, Mara
na Mwanza]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mkoa wa Kigoma]:
|
Hali ya Mawingu kiasi na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Tanga, Dar es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Morogoro, Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Ruvuma Rukwa,
Iringa, Mbeya na Njombe]:
[Mikoa ya Tabora,
Shinyanga, Katavi na Simiyu]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida, Lindi
na Mtwara]:
|
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi
vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
26°C
|
15°C
|
12:33
|
12:35
|
D'SALAAM
|
31°C
|
22°C
|
12:24
|
12:22
|
DODOMA
|
26°C
|
17°C
|
12:38
|
12:36
|
KIGOMA
|
32°C
|
20°C
|
01:02
|
01:00
|
MBEYA
|
25°C
|
8°C
|
12:49
|
12:43
|
IRINGA
|
25°C
|
14°C
|
12:39
|
12:35
|
NJOMBE
|
18°C
|
9°C
|
12:40
|
12:35
|
MWANZA
|
28°C
|
19°C
|
12:47
|
12:49
|
TABORA
|
32°C
|
18°C
|
12:50
|
12:48
|
TANGA |
30°C
|
22°C
|
12:25
|
12:23
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
22°C
|
12:34
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya
Km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya Km 20
kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari:Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo hadi makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumapili:10/09/2017:
Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 08/09/2017.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments: