Tuesday, August 8, 2017

TEMESA yaridhishwa maendeleo ya ujenzi wa maegesho Lindi

ad300
Advertisement
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme, TEMESA Dk. Mussa Mgwatu (wa pili kulia) aliyenyoosha mkono, akimuonyeshea Meneja wa TEMESA Mkoa wa Lindi Mhandisi Greyson Maleko (wa kwanza kulia)  eneo patakapojengwa chumba cha  kupumzikia abiria wakati wakisubiria kivuko upande wa Kitunda. Dk. Mgwatu alikua Mkoani humo kukagua ujenzi wa maegesho ya Lindi Kitunda.

Dk. Mussa Mgwatu (wa pili kushoto), akimsisitizia jambo Mkandarasi wa kampuni inayojenga maegesho ya Lindi Kitunda Mhandisi Evans Martin (kushoto), wakati alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa maegesho hayo mkoani Lindi, nyuma yake ni Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA)   Mkoa wa Lindi  Mhandisi Hillary Msaki.

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: