Friday, August 18, 2017

Shehena ya meno ya tembo yanaswa Dar

ad300
Advertisement
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Mghembe akizungumza na waandishi wa habari wakati alipokuwa akiwaonesha waandishi wa habari vipande vya  meno ya tembo 28 yaliyokamatwa kwenye ghala eneo la Mbezi Beach hivi karibuni. Jumla ya watuhumiwa wa ujangili wapatao 6  tayari wameshakamatwa akiwemo Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa na Imam wa msikiti wa Huda  wa Mbezi Beach, Aboubakar Zuberi Segumi ( Picha na Lusungu Helela- WMU)

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: