Thursday, August 31, 2017

BoT yakanusha uvumi ubadilishaji wa fedha

ad300
Advertisement
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia Idara yake ya Uhusiano wa Umma na Itifaki, imekanusha taarifa inayozagaa mitandaoni kuhusu ubadilishaji wa fedha kongwe.

Imesema taarifa hiyo ni ya kughusi na kwamba ipuuzwe na umma wote wa watanzania.



Taarifa husika iliyokanushwa na BoT:



Share This

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

Related Posts

0 comments: