Monday, July 24, 2017

Unahitaji kuendelea na elimu ya juu? SOMA HAPA

ad300
Advertisement

Wazazi na walezi mnakumbushwa kuwa Tume ya Vyuo Vikuu yaani TCU kwa sasa haipokei maombi ya kujiunga na vyuo vya elimu ya juu, badala yake imetoa maelekezo kuwa sasa hivi unaomba moja kwa moja kwenye chuo mwanafunzi anachokihitaji.

Ifuatayo ni orodha ya vyuo vikuu Tanzania na tovuti zake kwa ajili ya maelezo zaidi:

1.    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania) https://www.out.ac.tz

2. Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM)  …………..
https://www.udsm.ac.tz

3.   Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA)       …………
https://www.mnma.ac.tz

4.    Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)        ……….
https://www.udom.ac.tz

5.    Chuo kikuu cha Mzumbe (MU)             …………
www.mzumbe.ac.tz

6.   Chuo Kikuu cha kilimo Cha Sokoine (SUA)    …………
www.suanet.ac.tz

7.    Chuo kikuu cha sayansi ya tiba Muhimbili (MUHAS)  …….
www.muhas.ac.tz

8.    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA)    ………
www.makumira.ac.tz

9.    Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT)    ………
https://saut.ac.tz

9.    Chuo kikuu cha ardhi (ARU)            ……..
www.aru.ac.tz

10.    Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohane (SJUT)    ………
www.sjut.ac.tz

11.    Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) ……. www.mustnet.ac.tz

12.    Chuo kikuu cha kikatoliki cha Sayansi ya Tiba – Bugando (CUHAS)….. www.bugando.ac.tz

13.    Chuo kikuu cha Zanzibari (ZU)            ……..
www.zanvarsity.ac.tz

14.    Chuo kikuu kishiriki cha Elimu – Mkwawa (MUCE) …….
https://www.muce.ac.tz

15.    Chuo kikuu cha ushirika Moshi (MoCU)        ………
https://www.mocu.ac.tz

16.    Chuo kikuu cha Afrika cha Nelson Mandela cha sayansi na Teknolojia  … www.nm-aist.ac.tz

17.    Chuo kikuu cha kumbukumbu ya Hebert Kairuki (HKMU) …… www.hkmu.ac.tz

18.    Chuo kikuu cha umma cha Zanzibari    (SUZA)    ……..
www.suza.ac.tz

19.    Chuo kikuu kishiriki cha elimu cha Dar Es Salaam (DUCE) …….    duce.ac.tz

20.    Chuo kikuu cha Mlima Meru (MMU)        …….
www.mmu.ac.tz

21.    Chuo kikuu cha Mtakatifu Yosefu Tanzania (SJUIT) ………. www.mmu.ac.tz

22.    Chuo kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) .. www.sekomu.ac.tz

23.    Chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala (KIU)     ……..
https://www.kiu.ac.tz

24.    Chuo kikuu kishiriki cha askofu Mkuu Mihayo Tabora (UMUCTA) https://www.kiu.ac.tz

25.    Chuo kikuu cha kiislamu Morogoro (MUM)    …….
www.mum.ac.tz

26.    Chuo kikuu kishiriki cha kikristu cha tiba Kilimanjaro (KCMC) …    kcmuco.ac.tz

27.    Chuo kikuu kishiriki cha Jordan (JUCO)        ……
www.juco.ac.tz

28.    Chuo kikuu kishiriki cha Stella Maris Mtwara (STEMMUCO) … www.stemmuco.ac.tz

29.    Chuo kikuu kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) www.smmuco.ac.tz

30.    Chuo kikuu cha Arusha (UOA)            …….        uoa.ac.tz

31.    Chuo kikuu cha Ekerneforde Tanga (ETU)    ……
www.etu.ac.tz

32.    Chuo kikuu kishiriki cha Josiah Kibira (JoKUCo)    …..
www.jokuco.ac.tz

33.    Chuo kikuu kishiriki cha afya na tiba cha Mt. Francis (SFUCHAS) www.sfuchas.ac.tz

34.    Chuo kikuu cha Umoja wa Afrika Tanzania (UAUT) ……
www.uaut.ac.tz

35.    Chuo kikuu cha Elimu ya Biashara (CBE)        ………
https://www.cbe.ac.tz

36.    Chuo kikuu cha kikatoliki cha Mwenge (MWECAU) …….
www.mwecau.ac.tz

37.    Chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Dar Es Salaam (TUDARCo) … www.tudarco.ac.tz

38.    Chuo kikuu cha Iringa (UoI)            ……….
www.uoi.ac.tz

39.    Chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Iringa        ……..
www.elct.org/iringa.html

40.    Chuo kikuu cha Theofilo Kisanji    (TEKU)        ……..
https://www.teku.ac.tz

41.    Chuo kikuu cha uhasibu Tanzania (TIA)        ………
https://tia.ac.tz

42.    Chuo kikuu cha uongozi wa fedha (IFM)        ……..
www.ifm.ac.tz

43.    Chuo kikuu cha  Tekinolojia Dar Es Salaam (DIT)    ……..
www.dit.ac.tz

44.    Chuo kikuu cha kimataifa cha Tiba & Tekinolojia (IMTU) …b www.imtu.edu

45.    Chuo kikuu cha Usafirishaji cha Taifa (NIT)    …….
www.nit.ac.tz

46.    Chuo kikuu cha ustawi wa jamii (ISW)        ……..
www.isw.ac.tz

47.    Chuo kikuu cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere (MNMA) ….. www.mnma.ac.tz

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: