Advertisement |
Siku moja baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na Kaimu Katibu Mkuu wake Magdalene Sakaya kumwandikia Spika Job Ndugai barua ya kuwasimamisha uanachama wabunge wake nane, Spika ametangaza kutokuwatambua wabunge hao kwa mujibu wa sheria na kuikaribisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupanga taratibu za kuziba nafasi kwa mujibu wa sheria kutokana na uamuzi huo.
0 comments: