Sunday, April 14, 2013

Ndege ndogo yaanguka Arusha na kuua mmoja!!

ad300
Advertisement
Arusha: Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'written-off'

- Habari za uhakika zinasema ndege iliyokuwa inamilikiwa na Wakili maarufu Marehemu Nyaga Mawalla aliyefariki wiki 3 zilizopita na kuzikwa huko Nairobi, imeanguka ikiwa katika hatua za mwisho za kutua (final approach) katika kiwanja cha ndege cha Arusha.

- Taarifa hizo zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani pekee anayejulikana kwa jina la Jamal B S, au maarufu kama "Bob Sambeke" aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro ambaye naye kapoteza maisha (kafariki)!

- Inadaiwa kuwa ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja (saa 12.30 jioni) kupita.
Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: