Monday, March 18, 2013

Mwandishi wa habari wa Somalia aachiliwa

ad300
Advertisement
 
MAHAKAMA kuu ya mjini Mogadishu Somalia imemwaachilia huru mwandishi wa habari ambaye alifungwa kwa sababu ya kumhoji mwanamke aliyesema amebakwa.

Katika kesi iliyolalamikiwa kimataifa, mwandishi huyo, Abdilaziz Abdinuur, awali alipewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja kwa kumhoji mwanamke ambaye alisema alibakwa na wanajeshi wa serikali.

Mwanamke huyo piya alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja lakini kesi yake ilifutwa kwenye rufaa awali mwezi huu.

Jaji wa mahakama makuu - Aidid Abdulahi Ilkahanaf - alisema mashtaka yote dhidi ya mwandishi huyo wa habari sasa yamefutwa.
Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: