Advertisement |
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA SEPTEMBA 01, 2017.
[Mikoa ya Kagera, Geita, Mara
na Mwanza]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Tanga, Dar es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mkoa wa Kigoma]:
|
Hali ya Mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Iringa, Njombe,
Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora na Katavi]:
[Mikoa ya Singida na
Dodoma]:
[Mikoa ya Ruvuma na
Morogoro]:
[Mikoa ya Shinyanga na
Simiyu]:
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
11°C
|
12:33
|
12:35
|
D'SALAAM
|
30°C
|
20°C
|
12:24
|
12:22
|
DODOMA
|
29°C
|
16°C
|
12:38
|
12:36
|
KIGOMA
|
29°C
|
19°C
|
01:02
|
01:00
|
MBEYA
|
25°C
|
07°C
|
12:49
|
12:43
|
IRINGA
|
29°C
|
14°C
|
12:39
|
12:35
|
NJOMBE
|
22°C
|
08°C
|
12:40
|
12:35
|
MWANZA
|
28°C
|
20°C
|
12:47
|
12:49
|
TABORA
|
33°C
|
17°C
|
12:50
|
12:48
|
TANGA |
28°C
|
21°C
|
12:25
|
12:23
|
ZANZIBAR
|
28°C
|
19°C
|
12:34
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka
Kusini-Mashariki kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumapili:
03/09/2017: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 01/09/2017
Umetolewa na
MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA (HQ, Dar).
0 comments: