Advertisement |
Kutokana na kukithiri kwa wizi wa mifukoni kwenye vituo vingi vya mabasi jijini Dar es Salaam, Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam imetangaza msako endelevu wa wapiga debe kuanzia leo.
Wapiga debe wanadaiwa ndo kundi linalotumiwa na wezi wa mifukoni kama mwamvuli wa kujifichia ili kutekeleza azma yao ovu. Wewe ni mhanga wa kuibiwa simu kituoni?
0 comments: