Thursday, September 26, 2013

Saa 96 za hofu nchini KENYA

ad300
Advertisement
Pambano lililodumu kwa Takribani sIku 4 kati ya KIKUNDI cha Alshabab na Majeshi ya Ulinzi na usalama nchini Kenya lilifikia tamati Juzi baada ya Rais Kenyata kutamka hadharani  kuwa The Mall is Completely rescued.

Lakini Utata mwingi umeghubika Tukio hili,hali iliyofanya Baadhi ya wanaharakati na Vyombo vya Habari nchini Kenya kuhoji Uwazi wa zoezi zima la uwokoaji ikiwemo Idadi ya Vifo, Mateka na Magaidi pia

Awali Rais wakati akihutubia Taifa Mchana mishare ya saa 6 kuwa tayari Majeshi yameshinda palitokea milindino ya Risasi Mithiri ya Majibidhano kati ya Majeshi na Magaidi Mjengoni mda mfupi badae hii ilidumu kwa takribani Saa nzima na kujirudia tena saa 1jioni, hali hii ilizua waswas kuwa huenda bado Magaid yalikuwemo pa1 na kauli ya Raisi, Watu wanahisi kuwa Rais aliwahi kutangaza ushindi Mapema kabla ya Magaidi yote hayajawa Kontrolled, Na kama ni hivyo ni kwa Mantiki ipi Watu wamekuwa wakihoji.

Sinitojua nyingine ni kuhusu MATEKA waliokuwa ndani ya Jengo ambao serikali iltangaza wawli kuwa kulikuwa na Mateka zaidi ya 150 walokuwa wameshikiliwa mjengoni, Cha ajabu baada ya zoezi kuisha ni watu wachache sana waloweza kuonekana idadi isyofka hata 30, hakuna Mateka alionekana akitoa ushahidi wa jinsi walvyotekwa ndani na waliishije wakiwa humo kama mateka kwa hzo cku 4, hofu ilizid maradufu baada ya Al Shababu jana kutangaza wazi kupitia Mtandao wao kuwa waliua Mateka 157, Hofu imetanda zaidi na Serikali huenda ina siri nzito kuhusu hili.

Wakati wa zoezi la kuoa lilipofikia hatua flani waandishi wa habari woote walifukuzwa na Majeshi ya Ulinzi, Chombo flani cha habari kilichokuwa kimeweka kambi kama Mita 300 toka kwenye eneo la Tukio kilishuhudia Ambulances na Magari ya Majeshi yakija kwa jasi hadi kwenye labgo la Jengo hilo na kisga kuondoka kwa spidi kali kuelekea kusikojulikana, hali hii ilidumu siku nzima ya 3 na ya 4. Watu wanafjiri Huenda ni Miili ya Mateka walokuwa wameshikiliwa na kuuawa na Magaidi au kuuawa kufatia majibizano ya risasi kati ya Majeshi na Magaidi,Serikal haikuweka wazi hapa

Hofu nyingine ni kuhusu idadi ya vfo imekuwa ikitofautiana awali Red Cross walidai vifo kufikia 68 lakini badae Rais Kenyatta alltangaza watu 62 kupoteza Maisha, Wakati vyombo na Mashirika ya habari toka magharibi vnadai Watu zaidi ya 70 kupoteza Maisha. 'Source JF'
Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: