Sunday, September 15, 2013

Ligi ya mkoa wa TANGA mpira wa miguu kuanza October

ad300
Advertisement
MASHINDANO ya kumpata bingwa wa mkoa wa Tanga wa mpira wa miguu inatarajiwa kuanza mapema mwezi wa kumi mkoani humo.
Taarifa kutoka kwa mmoja wa wadau wa mchezo huo mkoani Tanga aliyehudhuria kikao cha kupanga makundi ya kipute hicho aliyejitambulisha kwa jina moja la FRANCO zinasema kuwa michezo hiyo itahusisha timu kutoka wilaya kadhaa za mkoa huo.
Amesema kutakuwa na makundi mawili yatakayo jengwa na timu mbalimbali zitakazo wekwa bayana hivi karibuni ili kuanza rasmi kwa mchakato wa michuano hiyo.
Usajili wa timu mbalimbali zinazo husika kwenye mashindano hayo umeanza mapema mwezi huu. 
Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: